Saturday, January 8, 2011

Wenzetu majuu hawacontradict mambo kwenye harusi

Huu ni ukumbi wa harusi, ukiangalia vizuri hauna viti vingi vya washiriki katika sherehe hii ya harusi kama tunavyofanya sisi 'bongo'. Sherehe hii ina takribani watu 30. Je bongo tunaweza kukubali harusi ya watu wachache kama hawa?

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...