Friday, January 7, 2011

Vurugu za Arusha katika maandamano ya CHADEMA

Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), akiwemo Dk. Willibrod Slaa wakiongoza maandamano kabla ya kutawanywa na polisi mjini Arusha juzi.

Wananchi nao huku baadhi wakiwa na mabango hawakuwa nyuma kuwaunga mkono viongozi wao kwa kuandamana kabla ya kutawanywa.


Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wake.


Wananchi wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.


Mke wa Dk. Slaa akiwa amejeruhiwa baada ya kudaiwa kupigwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU).


Mke wa Dk. Slaa, Josephine Mushumbusi (aliyelala) akisomewa mashtaka siku moja baada ya vurugu za maandamano. Picha na Mdau Janeth Mushi, Arusha.


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...