Sunday, January 2, 2011

Ubunifu muhimu, angalieni hii moto kaa

Angalieni hii moto kaa 'Made in Tanzania' tukiiboresha si tunaweza kupata bajaj from Tanzania na kujikuta tunatengeneza zetu. Picha hii imetumwa na mdau mmoja wa Blog ya HM.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...