Sunday, January 2, 2011

Dar na msongamano wa magari

Mvua inaponyesha kidogo katikati ya jiji la Dar es Salaam, achilia mbali kero ya kujaa kwa maji kwa baadhi ya maeneo lakini kingine kikubwa huwa ni mzongamano wa magari kama unavyoonekana katika mzunguko wa makutano ya barabara za Samora na Azikiwe. Picha na mdau Dotto Mwaibale. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...