Monday, January 3, 2011

Siku Jaji Mkuu mpya wa saba alipoapishwa


JAJI Mkuu Chande Othman (58) akipongezwa na Rais Jakaya Kikwete Desemba 26 muda mfupi baada ya kumuapisha kushika nafasi hiyo. Jaji Othman anakuwa ni Jaji wa Saba kuongoza muhimili huo muhimu wa Serikali. ameteuliwa kushika nafasi hiyo mara baada ya kustaafu kwa aliyekuwa Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani.


Baadhi ya majaji wa Mahakama Kuu wa kiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhan (wa nne kulia) wakiwa katika sherehe za kuapishwa kwa Jaji Mkuu mpya, Othman.

Majaji wa Mahakama ya Rufaa wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu mpya, Othman (wa nne kushoto waliosimama). Picha zote na mdau Richard Mwaikenda.  

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...