Friday, January 7, 2011

Mke wa Ridhiwani Kikwete akipongezwa kuwa wakili wa kujitegemea

Mke wa Ridhiwani Kikwete (aliyembeba mtoto) akipiga picha na mkwewe Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) katika hafla ya kumpongeza baada ya kupata daraja la uwakili wa kujitegemea Desemba 17, 2010. Kulia ni mumewe Ridhiwani.
Picha kwa hisani ya Ikulu.


Mke wa Ridhiwani akiwa (aliyembeba mtoto) katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa pamoja na Rais Kikwete, kwenye hafla hiyo iliyofanyika ikulu Desemba 17, 2010.


Picha ya pamoja na wanafamilia na wageni waalikwa katika hafla.

No comments:

Post a Comment

WAZIRI MKUU AWATAKA WABUNGE KUDUMISHA MSHIKAMANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,  akizungumza na Wabunge, baada ya  futari aliyowaandalia,  katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Juni 5. 20...