Tuesday, July 9, 2013

Hafla ya Daraja la 'Comunio' ya Mtoto Gasper Henry

GASPER AKIFURAHIA ZAWADI YAKEKI

FAMILIA ILIKUSANYIKA PAMOJA

MARAFIKI WAKILISHANA KEKI

GASPER AKIMLISHA BABA YAKE

GASPER AKIMLISHA MAMA YAKE

GASPER AKIMLISHA MJOMBA WAKAE

MUANDAAJI WA BLOG HII NAE ALIPATA NAFASI YA KULISHWA KEKI

JUU NA CHINI NA DADA WA GASPER


RAFIKI WA GASPER




Harusi ya Antony Mtavangu na Bi. Gema Temba




Maharusi Antony David Mtavangu (kulia) na Bi. Gema Temba 


 Antony David Mtavangu na Bi. Gema Temba, wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es Salaam na baadaye kufuatiwa na sherehe kubwa kwenye Ukumbi wa Delux Sinza.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...