Wednesday, December 10, 2014

Send Off Part ya Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen

 
 Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina  akiwa katika nyuso ya furaha, katika tafrija ya kumuaga kabla ya ndoa yake tarehe 25.11.2014
  
 Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard  Baada ya kumsaka ukumbi Mzima kwa ajili ya kumtambulisha kwa wageni waalikwa .
 Bibi harusi Mtarajiwa Noreen akimvisha Mume wake mtarajiwa Leonard  zawadi ya Saa Mara baada ya kutambulishwa Rasmi wa wageni waliofika katika Sherehe ya kumuaga
MC wa Sherehe hiyo Dk Chen akiendelea na kazi yake.
 
 Bwana Harusi Mtarajiwa Leonard  akionesha zawadi yake ya saa aliyonunuliwa na Mke wake mtarajiwa Noreen ikiwa ni moja ya zawadi ya kufika kwake katika sherehe hiyo
 
 Mume Mtarajiwa Leonard  wa Noreen akiwa anamlisha  Chakula Mkewe Mtarajiwa ishara ya Upendo
Msemaji wa upande wa Bwana harusi mtarajiwa akiwakaribisha Rasmi katika harusi upande wa wazazi wa Noreen, Ndugu jamaa na marafiki na kutoa nasaha chache. Jana Tarehe 25.11.2014

Meza  ya wazazi wa upande wa Bibi harusi mtarajiwa wakiwa wanasikiliza Nasaha  kutoka kwa msemaji wa upande wa Bwana Harusi mtarajiwa.
Wadada wa Mujini nao walimwagia pesa za kutosha Noreen..
Baadhi ya Marafiki wakubwa wa Noreen aliosoma nao katika chuo cha CBE Dodoma
Palikuwa hapatoshi hapa ambapo Noreen na Bwana Harusi Mtarajiwa Leonard  pamoja na wageni wengine waalikwa walicheza kwaito ya nguvu..
Burudani ya Nguvu inaendelea hapa..

Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia Sherehe na kufurahi.
Bibi Harusi Mtarajiwa akiwa anapunga mikono kuaga wageni waalikwa ishara ya kuondoka ukumbini kwenda kupumzika na kujiandaa na harusi huku akisindikizwa na wapambe wa kutosha.



Sunday, October 5, 2014

Harusi ya James Mwangwa na Mary Kimbi


Bwana Harusi James W. Mwangwa na Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakiwa katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika Oktoba 4, 2014 katika Ukumbi wa 'Mwenge Social  Hall'- Mwenge. Ibada ya Harusi yao ilifanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Makuburi jijini Dar es Salaam. 
Maharusi Bw. James W. Mwangwa na mkewe Bi. Mary C. Kimbi wakiwa katika picha na baadhi ya ndugu wa karibu.
Meza ya wazazi wa Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakifuatilia matukio katika sherehe hiyo.
Bwana Harusi James W. Mwangwa (kulia) akimwangalia babayake akiandaa ndafu kwa ajili ya kulishana maharusi na wazazi wa maharusi. 
Meza ya wazazi na ndugu wa karibu wa biharusi Mary C. Kimbi. 
Bi. Harusi Mary C. Kimbi (katikati) akimlisha kipande cha ndafu mamamkwe. Kushoto ni mumewe akiwa na babayake wakishuhudia tukio hilo. 
Wapambe wa maharusi wakiwa katika pozi ukumbini. 
Burudani ukumbini....!
Ndugu na jamaa wa karibu wakikabidhi zawadi zao kwa maharusi wakati wa pongezi.
Zawadi kwa maharusi.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa ukumbini.
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo.
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo.
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo.
Makundi mbalimbali ya Ndugu jamaa na marafiki yakipata picha mara baada ya kutoa zawadi zao kwa maharusi.
Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Oscar Munishi akimsikiliza MC wa shughuli hiyo (aliyeshika kipaza sauti) alipokuwa akitoa utaratibu ukumbini. 
Mama wa bwana harusi akizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini.
Ndugu wa karibu wa bwana harusi.
Wazazi wa bwana harusi wakizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini.
Shughuli ikiendeles...!
Kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo ikicheza na maharusi wao mara baada ya kutoa zawadi.
Wageni waalikwa, ndugu, jamaa na marafiki wakiserebuka ukumbini.

Wednesday, October 1, 2014

Azam World of Cakes Exhibition 2014

Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com[/caption] Azam World of Cakes Exhibition 2014Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com .Azam World of Cakes Exhibition 2014 Azam World of Cakes Exhibition 2014 Azam World of Cakes Exhibition 2014Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com. Azam World of Cakes Exhibition 2014
Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com.
Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com
Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com.

Monday, September 29, 2014

Harusi ya Bw. Boniface Njanga na Bi. Irine Mshanga

Maharusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyanyua glasi juu tayari kwa kugonganisha na ndugu jamaa na marafiki.
Bwana harusi Boniface J. Njanga akipozi na mkewe Bi. Irine H. Mshanga mara baada ya kufunga pingu za maisha, Septemba 27, 2014 jijini Dar es Salaam.
Meza ya 'makaka' wa bibiharusi ikifuatilia matukio ya tafrija. 
Baadhi ya 'madada' wa biharusi.                                   
Meza ya madada wa bibi harusi pamoja na marafikizao wakifuatilia tafrija.
Ndugu, jamaa na marafiki wa maharusi wakiwa katika tafrija hiyo
Ndugu, jamaa na marafiki wa maharusi wakiwa katika tafrija hiyo
"Kitambaaa cheupeeee..." baadhi ya wageni waalikwa wakicheza wimbo kitambaa cheupe ukumbini.
Meza ya wazazi wa bwana harusi ikijiandaa kugonganisha glasi za vinywaji na maharusi.








SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...