Saturday, January 8, 2011

Ndoa ya Thadei Hafigwa na mkewe

"Sasa ubachela basi" Mwandishi wa gazeti la Jambo Leo mkoani Morogoro, Bw. Thadei Hafigwa akimvisha pete mkewe kanisani kama ishara kuungana maisha siku ya ndoa yao.


Padre (kushoto) akiendesha ibada ya ndoa ya Bw. Hafigwa na mkewe.


Bw. Hafigwa (kushoto) akiwa na mkewe kanisani


Bw. Hafigwa (wa pili kushoto) na mkewe (wa pili kulia) pamoja na wasimamizi wao wakiwa kanisani siku ya ndoa yao. Picha zote kwa hisani ya familia ya Hafigwa.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...