Friday, January 7, 2011

Siku Waziri Prof Mbarawa alipotembelea TCRA

Mkurugenzi wa TCRA, Profesa John Nkoma akizungumza na wadau kuhusu majukumu ya mamlaka hiyo wakati Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa alipotembelea mamlaka hiyo jana.


Mtaalamu wa mawasiliano akimuonesha Waziri moja ya chombo cha kisasa cha mawasiliano, katika ziara yake ya kutembelea TCRA.


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...