Wednesday, October 16, 2013

MATEMBEZI YA HISANI,DAWATI NI ELIMU


Mabango yenye Ujumbe Mbalimbali kabla ya kuanza matembezi

Mgeni rasmi Mama salma kikwete na mstahiki meya wakifanya mazoezi ya viungo na wanafunzi kabla ya matembezi ya hisani ya dawati ni elimu
Mazoezi ya viungo kabla ya kuanza matembezi



Matembezi kwenya barabara ya Ohio mjini dar es salaam
Picha Juu na chini ni Mgeni Rasmi wa matembnezi hayo Mama Salma Kikwete akingoza matembezi hayo kushoto kwake ni mstahkimea wa Ilala Jerry Silaa


Matembezi ya hisani ya dawati ni elimu    



Mstahiki meya Jerry silaa akimkabidhi zawadi Mgeni rasmi mama Salma Kikwete
Meya wa Mansipaa ya Ilala Jerry Silaha akimkabidhi mgeni rasmi zawadi 

Wanafunzi wakitumbuiza wageni
   

vikundi mbalimbali vya watoto wakitumbuiza

Wanafunzi wa shule ya msingi ya bunge wakikaribisha mgeni rasmi

 

Mgeni rasmi Mama salma Kikwete akisisitisha umuhimu wa elimu
Mama Salma kikwete akihutubia
   

Friday, October 4, 2013

Harusi ya Mdau Vicent Mnyanyika na Bi. Tatu Abdi

Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam juzi. Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam juzi.

Paroko wa parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa takatifu 
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa yao takatifu Kanisani.

Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa akiwa anashuhudiwa na Mmewe Vicent Mnyanyika 
Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa huku mumewe Vicent Mnyanyika akishuhudia pembeni.

MC PC Makame Akiwaongoza Maharusi katika tendo la keki.Harusi sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel Tar 31 August 2013 MC PC Makame akiwaongoza maharusi katika tendo la keki ukumbini katika hafla kabambe iliyofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel Agosti 31, 2013.

DSC_0020  
Bi. Tatu Abdi katika picha na mpambe wake.

DSC_0333  
 Maharusi wakikabidhiwa vyeti vyao kanisani.

  DSC_0335  
Maharusi wakivionesha vyeti vya ndoa kwa mashuhuda mara baada ya kufunga ndoa.

Maharusi na wapambe  
Picha na wapambe wa maharusi.

Maharusi na wazazi  
Picha na wazazi wa maharusi.

Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Bibi Harusi Tatu Abdi wakitoka ukumbini
Maharusi wakiwapungia mikono wageni waalikwa kwa ishara ya kuwaaga mara baada ya kumalizika kwa mnuso huo wa nguvu uliofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel.

Thursday, October 3, 2013

MAHAFALI YA SHULE YA MSINGI MAKTABA 2013 DAR ES SALAAM

MAHAFALI YA S/M MAKTABA
WALIMU WANAFUNZI PAMOJA NA MGENI RASMI KATIKA PICHA YA PAMOJA
PICHA JUU NA CHINI NI MAANDAMANO YA WAHITIMU WADARASA LA SABA 2013 SHULE YA MSINGI MAKTABA JIJINI DAR ES SALAAM


WALIMU AKITOA UFAFANUZI

WAHITIMU WA DARASA LA SABA WAKIFUATILIA KWA KARIBU

WAHITIMU WA DARASA LA SABA KUTOKA KULIA NI ROSE HENRY, MONICA PAMOJA NA RAFIKI YAO
MWANAFUNZI ROSE HENRY ALIYEFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAKE AKIPOKEA ZAWADI



KIPAIMARA CHA BEATRICE SONGOMA


HONGERA BEATRICE SONGOMA
KWA KUPATA KIPAIMARA
NA BAADAE SHEREHE KUFANYIKA NYUMBANI KWA BABU NA BIBI YAKE MBEZI TEMBONI DAR ES SALAAM


BEATRECE SONGOMA

WAKIINGIA UKUMBINI WATOTO WALIOMSINDIKIZA BEATRECE

PICHA JUU NA CHINI NI BEATRICE AKIWA PAMOJA NA MPAMBE WAKE ROSE








MUANDAAJI WA BLOGU HII AKIWA PAMOJA NA WAALIKWA KATIKA HAFLA HII YA KUMPONGEZA BEATRICE
BEATRISE AKIWA NA MPANBE WAKE WAKIJARIBU KUIWEKA SAWA TAYARI KWA KUIFUNGUA

BEATRICE AKIIFUNGUA



WAALIKWA WAKIMPONGEZA BEATRICE KWA KUNONGANISHA GLASI

KUTUNZA ILIRUHUSIWA


KWAITO KABLA YA KUKATA KEKI



BEATRICE AKIMLISHA MAMA YAKE MZAZI (PEMBENI KUSHOTO NI BABA YAKE MR SONGOMA NA  NYUMA NI MJOMBA NA SHANGAZI WA BEATRICE)

MAANJUMATI

TUNASHUKURU SANA KWA MR & MRS SONGOMA KWA KUTUPA NAFASI YA KUSHIRIKI PAMOJA NAO KATIKA HAFLA HII YA BINTI YAO BEATRICE. PIA WADAU WETU WOTE WANAOTEMBELEA MTANDAO HUU. KARIBUNI SANA.

Harusi ya Bw. Max Komba na Bi. Pendo Max Komba ilivyofana


Bwana Max Komba
Mrs Pendo Max Komba
Pendo akati akiwa bado humo katika shera
Baadhi ya wageni kutoka Ruvuma wakigaragara chini kama ishara ya kumheshimu Bwana Komba, walipowasili nyumbani kwa Bwana harusi, Tabata Dar es Salaam, tayari kushiriki suguli nzima ya harusi iyo.

Komba akiwa mbele ya nyumba yake, muda mfupi kabla ya kwenda Kanisani.

wageni wakipata msosi wa mchana nyumbani kwa Komba.

Mapishi yakiendelea kabla ya watu kwenda harusini.

Mmoja wa wapambe wa karibu akimshauri jambo Komba kabla ya kwenda kufunga ndoa.

Baadhi ya waalikwa wakiwa katika basi maalum kwenda Kanisani.

Waalikwa wakiwa katika basi maalum kwenda Kanisani.

Komba akitoka rasmi nyumbani kwenda Kanisani kufunga ndoa

Komba na mpambe wake wakiwasili kanisani kwa gari ambalo ni mali yake.

Pandre akampokea Komba na mpambe wake

Shamrashamra zikiendelea kanisani kupokea maharusi

Bi Pendo ambaye sasa ni Mrs Komba akiwasili Kanisani

Pendo akiingia kanisani

Komba na mkewe wakiwa mbele ya Padre

Hapa wakiwa tayari kufungishwa mdoa

Wakisubiri kwa hamu kufumgishwa ndoa.

Padre akiwa mbele yao kuwaleza mambo muhimu yahusuyo ndoa...

Baadhi ya watoto wanafamilia, ndugu na jamaa wakiwa kanisani.


Kwaya ya kanisa ikisherehesha kwa nyimbo za mapambio.

Baadhi ya wazee wa karibu wa bwana harusi.

waalikwa wakiwa kanisani.

Maharusi na wapambe wao wakiwa kanisani.

Kisha padre akaja mbele yao
'Shikaneni mikono' Padre akasema, nao wakafanya hivyo
Na Padre akaweka mkoni wake juu ya mikono yao kuwafungisha ndoa
Na hatimaye ikawa kama hivi...na kuungana milele. 

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...