Tuesday, January 4, 2011

Jeshi la Polisi lapewa baskeli kufanyia doria


Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema (kulia) akimpongeza
meneja mauzo wa kampuni ya HSC, Fatma Washoto (kushoto).


Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi , Shamsi Vuai Nahodha akikagua gwaride kabla ya kupokea msaada wa baskeli.


Askari wa Jeshi la Polisi wakifanya maonesho ya doria kwa kutumia baskeli


Waziri Nahodha akimkabidhi Inspekta wa Polisi, Andrew Makungu moja ya nyaraka. Picha zote kwa hisani ya kitengo cha mawasiliano ya Jeshi la Polisi Makao Makuu.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...