Wednesday, January 5, 2011

SEND OFF YA ELIZABETH GUPTA




Aliyekuwa mshiriki wa Big Brother mwaka juzi, Elizabeth Gupta Januari 2, 2011 alifanyiwa send off yake ya hadhi iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Upanga, na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wakwe zake toka nchini Nigeria. Pichani Elizabeth na mumewe Kelvin wakati wa msosi kwenye hafla hiyo.



Baadhi ya watu maharufu kwenye fani ya sanaa akiwemo Kanumba, Hashim Lundenga wakipiga picha na Elizabeth na mumewe Kelvin.



Elizabeth, Kanumba pamoja na Kelvin katika picha ya pamoja.

2 comments:

  1. hii kitu imetulia sana,
    mzee blog yako changa lakini inatoa habari za hakika,

    keep th spirit

    ReplyDelete
  2. uwe unaweka picha nyingi za tukio lote

    ReplyDelete

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...