Saturday, January 8, 2011

Harusi ya Bwana Omari na mkewe Saida


Bwana Omari akiwa na Bi. Saida Bawazir baada ya kufunga ndoa katika Msikiti wa Kichangani Magomeni na kufuatiwa na tafrija kabambe iliyofanyika ukumbi wa Golden Resort Sinza.



No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...