Thursday, December 23, 2010

Wajua kwamba zipo rangi za maharusi kila mwaka?


Kwa kuwa Blog yetu inagusa miongoni mwa matukio muhimu katika maisha ya mwanadamu si vibaya leo wadau tutembelee na kuona rangi na mishono mbalimbali ya nguo za mabibi harusi.

 

Cheki hii


Staili hii unaionaje?

Cheki na hii

 Hapa vipi?


Binafsi mimi ningelichagua hii, wewe je?


Kuna hii hapa pia katika pozi 

 Katika keki hii pia waweza chagua rangi ya harusi yako.

Baada ya kuona baadhi ya mitindo ya magauni ya maharusi ni vema tumalizie kwa kuangalia rangi zote za harusi kwa mwaka huu, 2010  

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...