Monday, December 20, 2010

Mdau na mwanahabari alipoukimbia ukapera

Mwanahabari Julian Msack akimvisha pete mkewe kuashiria tukio la kuungana pamoja daima kama mke na mume hivi karibuni kanisa la makuburi Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifuatiwa na sherehe kabambe iliyofanyika katika ukumbi wa Green Park Tabata Mawenzi.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...