Tuesday, December 21, 2010

Miss Tanzania katika shughuli zake za kuitumikia jamii

Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel (kati), Mrembo wa Kanda ya Ziwa Buduri Ibrahim (kulia) pamoja na mrembo wa Kanda za Nyanda ya Juu Kusini, Furaha David (kushoto) wakiwa wamebeba watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha Fontain Zoe kilichopo Bomang'ombe nje kidogo ya mji wa Moshi.

Miss Tanzania akikabidhi zawadi za Net kwa Mkurugenzi wa kituo cha Fontain Zoe,  baada ya kukitembelea kituo hicho. Jamani tuwakumbukeni na yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Picha kwa Hisani ya Vodacom.


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...