Tuesday, December 21, 2010

Tamasha la Vodacom XXL After School Bash

Ofisa wa Ufadhili Kampuni ya Simu za Mkononi  ya Vodacom, Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom Miss  XXL After schol Bash, Amisa Hussein wa Sekondari ya Tandika ya jijini, lililowashilikisha wanafunziwa pamoja wa shule za sekondari, kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach. katikati  ni Mtangazaji wa  Clouds Tv, Zamaladi Mketema.

Msanii chipukizi kutoka kundi la Tip Top Connections, Dogo Janja akiwarusha wanafunzi wa shule mbalimbali katika Tamasha lililoandaliwa na Vodacom kwa kushirikiana na CLOUDS.

Mwanamuziki mahiri, Joe Makini  akiwapagawisha wanafunzi waliofika katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililokuwa na lengo la kuwakutanisha wanafunzi wote katika kipindi hiki cha Likizo.


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...