Monday, December 20, 2010

Ajali, ajali jamani-madereva tuwe makini

Baadhi ya wananchi wakiangalia gari kubwa la mizigo lililopata ajali hivi karibuni katika makutano ya barabara za Mandela na Kilwa jijini Dar es Salaam, dereva wa gari hilo lenye usajili T906AZZ alikufa papo hapo baada ya ajali. Picha na mdau wetu DOTTO Mwaibale. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...