Tuesday, December 21, 2010

Bodi ya Mikopo sasa kutumia madalali kudai madeni

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano kutoka Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Cosmas Mwaisobwa (kushoto) akitoa maelezo jana mjini Mbeya kwa Maofisa Habari Elimu na Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi chao juu ya uamuzi wa  Bodi hiyo wa kuanza kukutumia Kampuni za Udalali kama vile Majembe kukusanya madeni kwa wadai sugu ambao wameshindwa kulipa kwa hiari mikopo ya elimu ya juu. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Clement Mshana.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...