Thursday, December 23, 2010

Tarehe 6/6 /2009 itakuwa ni kumbukumbu ya milele kwa Charles Adrian


Mambo yalianzia Kanisa Katoliki la Tanga.





 Wakati mwingine Mdau Mkuu wa blog unapomwalika huwapongeza maharusi live. Hapa Mdau Mkuu wa Harusi na Matukio akiwapa mkono wa pongezi Bw. Charles na mkewe Zainabu Manyike baada ya kufunga ndoa mjini Tanga. 




Baadaye tulielekea beach kupata upepo mwanana na kupiga picha za kumbukumbu. 

 
 "Kuna vitu vizito lakini kamwe si wewe mama." Ndivyo anavyoashiria kusema; Bw. Charles huku akiwa amembeba mkewe, Zainabu Manyike ufukweni mwa bahari ya Hindi muda mfupi baada ya kufunga ndoa yao.

1 comment:

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...