Monday, December 20, 2010

Hongera Mama Spika wa Bunge la Tanzania (Makinda)

Siku Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda alipokaribishwa kwao Njombe na kukabidhiwa nyenzo za u-chifu. Wazee hao (pichani waliosimama nyuma) pia walimpongeza kwa nafasi alioishika sasa ya u-Spika.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...