Tuesday, December 21, 2010

Julai 24, 2010 haitasahaulika kwa Godfrey Maendeka na Joselin Mafuru

Mambo yalianzia kanisani. Godfrey Maendeka na Joselin Mafuru wakila kiapo kanisani.
Ilikuwa ni siku ambapo Godfrey Maendeka aliiaga kambi ya ukapera baada ya kufunga ndoa na Joselin Mafuru, baada ya shughuli za kanisani kukamilika ilifuatiwa na hafla kabambe iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.


Keki, keki, keki bwana

Baadaye tulikata keki


Wajua tulijipanga kila idara, angalia hapa.

Cheki hii

Kaka mtu akimshikia shela dada yake


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...