Saturday, December 25, 2010

Jamani wadau mvua zinaponyesha Dar es Salaam ni balaa tupu

Blog ya Harusi na Matukio, iliamua kuwatembelea wakazi wa Tandika katika mvua zilizonyesha juzi kuona hali halisi katika makazi yao baada ya mvua hiyo.
 
Mmoja wa wakazi wa Tandika (upande wa kulia juu) akimuonesha mdau wa blog namna mvua iliosababisha mafuriko eneo hilo ilivyoleta madhara 
Nyumba nazo zilikuwa hatarini, wakazi wakionesha maji yalivyo chimba pembezoni mwa nyumba zao. Picha zote na Mdau Dotto Mwaibale.



No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...