Tuesday, December 28, 2010

Pongezi afandeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mdau wa blog, Henry Kiungulia akiwa katika hafla alioandaliwa na wanafamilia yake kumpongeza baada ya kumaliza mafunzo ya Ofisa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya wanafamilia.

1 comment:

  1. hongera sana mkuu,

    naiman tumeongeza jemedari kwenye kazi nzima

    ReplyDelete

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...