Monday, December 20, 2010

Maofisa habari wa umma wanapokutaja kwa majadiliano


Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi akifungua kikao kazi cha Maofisa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Wizara , Idara, makampuni na mashirika ya umma. Kikao hicho kilichofunguliwa jana Mjini Mbeya, kinajadili mada mbalimbali ikiwemo uzalendo na muundo wa maofisa hao.


 
Baadhi ya Maofisa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Wizara , idara, makampuni na mashirika ya umma wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi alipofungua kikao kazi cha maofisa hao.
Picha zote na mdau wetu, Tiganya Vincent - MAELEZO-Mbeya. 


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...