Tuesday, January 2, 2018

Waziri wa Mifugo na Uvuvi ahamasisha kilimo bora cha pamba 'Mwaka Mpya'

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akishirikiana na wakulima wa Kijiji cha Itinje Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kupalilia shamba la pamba lililopandwa kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo wakati wa mapumziko yake ya sikukuu ya Mwaka Mpya jimboni kwake.

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akishirikiana baadhi ya wananchi wa jimbo la Kisesa Wilaya Meatu mkoani Simiyu kupalilia shamba la pamba ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji kilimo cha kuzingatia mbinu bora za kilimo ikiwemo kupanda kwa mistari pamoja na kutochanganya zao hilo na mazao mengine alipokuwa kwenye mapumziko ya sikukuu ya mwaka mpya jimboni kwake.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akishirikiana mkulima wa Kijiji cha Itinje jimbo la Kisesa Wilaya Meatu mkoani Simiyu Mama Sagwa Njile kupalilia zao la pamba lililopandwa kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Mwaka Mpya jimboni kwake.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...