Tuesday, January 16, 2018

DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MABALOZI SITA IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Uturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 16, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Israel hap  nchini Mhe. Noah Gal Gendler  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Australia nchini Mhe. Alison Chartres Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe.Sahabu Isah Gada Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Ikulu jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...