Saturday, January 6, 2018

Kikwete aongoza mazishi ya mwanahabari Athuman Hamisi Dar

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiwaongoza waombolezaji mbalimbali wakiwemo wanahabari katika mazishi ya mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo, Sanaa na Burudani, Dk Harrison Mwakyembe akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mazishi ya aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mstaafu, Dk Ibrahim Hamis ambaye pia ni kaka wa marehemu wa aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi akiweka udongo katika kaburi kwenye mazishi hayo.

Baadhi ya wanafamilia ya aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamis akiweka udongo katika kaburi kwenye mazishi hayo.


Baadhi ya waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la  aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamis akiweka udongo katika kaburi kwenye mazishi hayo.

Kutoka kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo, Sanaa na Burudani, Dk Harrison Mwakyembe, Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mstaafu, Dk Ibrahim Hamis wakiwa katika mazishi hayo.

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim James Yonazi akizungumza kutoa salamu mara baada ya mazishi ya hayo.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...