Tuesday, January 2, 2018

TCRA yavilima faini runinga za Star TV na Azam Two...!



TCRA yavilima faini runinga za Star TV na Azam Two...!

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevipiga faini vituo vya runinga vya Star TV na Azam Two kwa kukiuka maadili ya utangazaji. Kituo cha Star TV kimepigwa faini ya milioni 7.5 kwa makosa matatu ya kiutangazaji, huku kituo cha Azam Two faini ya milioni 2.5 kwa kutangaza taarifa ya uchochezi. Faini zinazotakiwa kulipwa ndani ya siku 30 kuanzia leo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Maudhui ya TCRA pia imekiweka kituo cha runinga cha Star TV kwenye uangalizi maalum kwa muda wa miezi sita kuanzia leo, kutokana na kurusha taarifa ya habari inayotajwa kuwa ya uchochezi.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...