Tuesday, January 16, 2018

Uzinduzi Ligi Daraja la Tatu sita Bora wafanyika Pwani

Mkurugenzi wa Kamati ya Mashindano ya (COREFA)Nancy Mtalemwa akisalimia na wachezaji wa Coast Star kutoka wilaya ya Bagamoyo kabla ya kucheza.


Na Vero Ignatus Pwani

JANA Januari 14, 2018 ulifanyika uzinduzi wa mashindano ya  (corefa) ligi daraja la tatu sita bora mkoani Pwani ambapo anatafutwa bingwa wa mkoa ili akashirika mabingwa wa mkoa ambapo akipata nafasi anakwenda kucheza ligi daraja la pili

Mtanange huo wamepambanishwa Coast star ya Bagamoyo vs Chalinze United uliochezwa katika kiwanja cha Shule ya Msingi Lugoba ,hii ni mechi ya ufunguzi kati ya mechi 15 zinazotakiwa kuchezwa  ili apatikane mshindi.

Katika uzinduzi mashindano hayo timu ya ya Coast Star ya Bagamoyo iliweza kuinyuka Chalinze United goli 1 ambalo likifungwa na Muhamad Gulam jezi nambari 14 mgongoni katika kipindi cha kwanza dakika ya 37,hadi mpira unamaliziaka Coast Star walikuwa wanaongoza kwa goli moja

Timu zinazoshinsanishwa ni pamoja na Majengo fc ya Bagamoyo,Nyika fc ya Kibaha,stend United ya Bagamoyo,Mdaula fc Cahalinze,ambapo mashindano hayo yalianza rasmi tarehe 2/12/218 yanatarajiwa kumalizika tar 5/2/2018

Camisaa Ambonisye Mwisho akimkaribisha Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa,aliyevaa miwani ni Makamu mwenyekiti wa COREFA na Mwenyekiti wa kamati ya  Mashindano  Shabani Kangale.

Camisaa Ambonisye Mwisho akimkaribisha Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa, aliyevaa miwani ni Makamu mwenyekiti wa COREFA na Mwenyekiti wa kamati ya  Mashindano  Shabani Kangale.



Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa (wa kwanza kulia) akiteta jambo na Afisa michezo Halmashauri ya Chalinze Lidya Masema(wa kwanza kushoto) pamoja na Katibu wa marefa mkoa wa pwani Simon Mbelwa.



Mwenyekiti wa kamati ya  Mashindano Shabani Kangale,Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa na Afisa michezo Halmashauri ya Chalinze Lidya Masema(wa kwanza kushoto.


Timu ya Chalinze United(walio jezi za blue) Timu ya Coaster Star kutoka Bagamoyo (waliovaa jezi za njano )wakiwa tayari kwa mchezo .

Camisaa Ambonisye Mwisho akimkaribisha Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa,aliyevaa miwani ni Makamu mwenyekiti wa COREFA na Mwenyekiti wa kamati ya  Mashindano  Shabani Kangale.


Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa (wa kwanza kulia) akiteta jambo na Afisa michezo Halmashauri ya Chalinze Lidya Masema(wa kwanza kushoto) pamoja na Katibu wa marefa mkoa wa pwani Simon Mbelwa. Picha zote na Vero Ignatus Blog.


No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...