Tuesday, January 2, 2018

Rais Magufuli atoa mkono wa pole msiba wa Marehemu Mary Lugola

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa wafiwa 

alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2, 2018  kwenye msiba wa Marehemu Kamishna 
Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na 
Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo 
alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2, 2018  kwenye msiba wa Marehemu Kamishna 
Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na 
Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...