Tuesday, January 9, 2018

SHAKA AWASILI SINGIDA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka (Kulia) akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ndg Peter Monko alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Singida.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi  Dk. Denis Nyiraha akimkaribisha Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka alipowasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Singida.

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka akizungumza mara baada ya kuwasili kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ndg Peter Monko.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...