Friday, September 11, 2015

USIKU WA HILDA TEMU KATIKA SHEREHE YA KUMUAGA (SEND-OFF PARTY)


 Bi Harusi Hilda katika pozi kabla ya kuingia Ukumbini 
 Bi Harusi mtarajiwa Hilda akiwa amepozi na Matroni wake Felister Mramba, wakati wa Sherehe yake inayo endelea sasa hivi katika ukumbi wa Dolphine


 akiwa anapambwa kabla ya kwenda katika Sherehe hiyo




Bi Harusi Hilda akiwa katika picha 
 Glory Temu (kushoto) akiwa amemkumbatia shangazi yake ambaye ni Bi Harusi mtarajiwa Hilda Temu,  kabla ya kuingia Ukumbini






Hongera Hilda

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...