Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam. Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose, waksikiliza majadiliano wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililoanza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunguzi jana. Picha na OMR
Karibu kwenye blogu yetu yenye habari, picha na matukio mbalimbali yakiwemo ya harusi na mitindo. Kwa kuwa ni blogu ya jamii tunakaribisha maoni kutoka kwako. Tutumie habari na picha za harusi, mitindo na maelezo yake au maoni kupitia; mushijoa@gmail.com / hilder_mwaipopo@yahoo.com au Simu;- 0717030066/ 0756469470.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.
Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...
-
Baadhi ya wanamuziki wa kundi la taarab la 5 Star wakiwa pichani. Na Mwandishi Wetu TAARIFA zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema ...
-
Mke wa Ridhiwani Kikwete (aliyembeba mtoto) akipiga picha na mkwewe Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) katika hafla ya kumpongeza baada y...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Agano Safi, Iyaloo ...
No comments:
Post a Comment