Monday, September 14, 2015

Bonah Kaluwa Afungua Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Jinsia Soko la Tabata Muslim

Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni. Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokon
 Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi,  Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.
 
Mgeni Rasmi Bonah Kaluwa akiwa meza Kuu.
Mgeni rasmi Bonah Kaluwa akiwa katika picha ya pamoja na wanawake wapinga ukatili wa kijinsia wa Tabata Muslim.
Mgeni rasm akiondoka eneo la mkutano.
Wasanii wa kundi la Machozi wakitoa burudani katika uzinduzi huo.
Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwahamasisha wananchi kujaza fomu za kuwa mabalozi wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...