Monday, September 14, 2015

EFM Yaanzisha Shindano la Kanga Wanawake

[caption id="attachment_61856" align="aligncenter" width="640"]Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo, Dina Marios (kulia), akizungumzia shindano hilo. Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo, Dina Marios (kulia), akizungumzia shindano hilo.
 Ofisa Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo  kuzungumza na wanahabari.
 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano lililoanzishwa na redio hiyo la Kanga kupitia kipindi cha Uhondo kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa redio hiyo ambalo limeanza rasmi jana. Kulia ni Mtangazaji wa kipindi hicho, Dina Marios na Ofisa Habari, Lydia Moyo.
Wapiga picha kazini katika mkutano huo 'Kazi yote  hiyo wanatafuta shibe chezea njaa wewe'  (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...