Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu jana katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. |

MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu amehutubia wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Bagamoyo huku akiwaeleza wananchi kuwa Serikali ya CCM imedhamiria kuleta maendeleo makubwa kwa wakazi wa Bagamoyo endapo itachaguliwa.
Alisema mbali na mpango wa kuendelea kukuza utalii eneo hilo na kuendeleza bidhaa za mikono zinazofanywa na wakazi wa mji huo kwa ajili ya kulenga soko la kitalii, wamepanga kujenga bandari kubwa ya uvuvi ambayo itachangia kukuza uchumi wa wanaBagamoyo.
Alisema katika bandari hiyo ya uvuvi ambayo Serikali ya CCM itaijenga meli za uvuvi kutoka bahari kuu zitakuwa zikiegesha katika bandari hiyo huku ikichangia kukuza biashara ndogondogo za wananchi watakaokuwa wakizifanya eneo hilo.
Alisema kazi za sanaa za mikono ambazo zimekuwa zikifanywa pia zitakuwa na kuboreshwa zaidi ili kuchangia kukua kwa kipato cha wanaBagamoyo ikiwa ni pamoja na kuchangia uwezeshaji na ajira kwa vijana na makundi mengine.
Alisema ilani ya CCM imepanga kukuza vipato vya kiuchumi vya akinamama na vijana kupitia vikundi vidogo vidogo kwa kuwawezesha kimitaji ili nao waweze kufanyabiashara zao kiufasaha na kukuza vipato vyao. Ziara ya kufanya kampeni za mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia CCM, inaendelea leo mkoa wa Pwani katika kata anuai za mko wa Pwani.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Bagamoyo jana. |
Baadhi ya viongozi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu jana katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. |
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu jana katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. |
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu jana katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. |
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu jana katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. |
Mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu akihutubia umati mkubwa wa wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. |

No comments:
Post a Comment