Wednesday, September 9, 2015

Bi. Samia Suluhu 'Atingisha' Majimbo ya Namtumbo na Tunduru...!

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akiwa amesimamishwa na moja ya wanakijiji wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na baadhi ya wananchi waliomsimamisha njiani alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) akizungumza na baadhi ya wananchi waliomsimamisha njiani alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Baadhi ya wananchi waliomsimamisha njiani mgombea mwenza wa CCM, alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na wananchi Kijiji cha Njenga Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Nalalasi. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akipokelewa na wananchi Kijiji cha Njenga Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Nalalasi.

Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Njenga Jimbo la Namtumbo wakimsikiliza mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza alipokuwa akielekea kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Nalalasi. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Njenga alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Njenga alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) akizungumza na baadhi ya wananchi waliomsimamisha njiani alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Njenga alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Njenga alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Njenga alipokuwa akielekea Kijiji cha Nalalasi Jimbo la Namtumbo alipokuwa akielekea kufanya mkutano wa hadhara. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...