Tuesday, October 6, 2015

Team Nimes'tuka yavamia Shinyanga

 Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima akiongea na umati wa watu uliojitokeza kulisikiliza kundi la Nimestuka, Shinyanga mjini jana

Kundi la wasanii wanaomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli jana niliingia mkoani Shinyanga kuhamasisha wananchi umuhimu wa kusikiliza sera kwa kina na kupima ukweli katika utekelezaji wake.
Kundi hilo linaloundwa na muunganiko wa wasanii wa folamu na muziki, limetomiza siku ya 15 ya ziara zao za Kijiji kwa  Kijiji ambapo lengo kuu ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa utekelezwaji wake bila ya kuwa na mihemko ya kidemokrasia.



Mmoja kati ya viongozi wa kundi la Nimestuka, Aunt Eze akiongea na wananchi katika mkutano mkutano uliofanyika Shinyanga mjini ambapo walisimama kuhamasisha vijana wenzao kusikiliza sera kwa umakini na kumuunga mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi, Dk John Magufuli

Msasnii wa filamu dende, akimwaga sera
Msanii wa vichekesho, Kitale a.k.a Mkude, akiwastua wananchi wa Shinyanga katika viwanja vya Buhangija jana

Inspekta Haroun, `Babu', akipagawisha wafuasi wa chama tawala waliohudhuria mkutano wa wasanii wanaounda kundi la Nimes'tuka 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...