Monday, May 9, 2011

Siku mtangazaji Ssebo alipopata jiko la milele


Mtangazaji Abdulhakim Busulwa a.k.a Ssebo akiwa na mkewe Tahjir Siu Busulwa kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick, jijini Dar es Salam hivi karibuni. Picha kwa hisani ya maharusi.

1 comment:

  1. Naomba kuuliza ..huyu mtangazaji kabadili dini na Jina??nimesoma nae UDSM Law na jina lake ni Dennis Busulwa..abdulhakim ndo nalisikia leo!!!!!kimaslah zaid i guess..usibanie comment ili upate ladha ya ku blogua na visitors wa ukweeeeeeeeeeeeeeeeel

    ReplyDelete

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...