Thursday, October 19, 2017

WANAHABARI WA TANZANIA WATEMBELEA KAMPUNI YA HUWAWEI NCHINI CHINA




 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa ndani ya Kiwanda cha Kampuni ya Huwawei walipotembelea Kiwanda hicho kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo.



 Wanahabari wakiwa katika kiwanda hicho.


Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja  Shenzhen nchini China, walipokwenda kutembelea kampuni ya Huwawei na kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo ikwemo utekelezaji wa mradi wa elimu wa Smart Education na e-Education unaotekelezwa katika shule ya msingi Baogang iliyopo nchini humo, hivyo kukabiliana na tatizo la uhaba walimu. mpango huo pia unatarajia kuuleta hapa nchini ili kuweza kuboresha sekta ya elimu. (Picha na mpiga picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...