Wednesday, October 11, 2017

BLOGGER JAMVI LA HABARI AMEREMETA JIJINI MBEYA




Pichani Bwana Harusi Willy Migodela na Bibi Harusi Lightness Ngenzi.
BLOGGER wa Jamvi la Habari ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT - Songea Willy Migodela. Tarehe 07/10/2017 alifunga harusi na Lightness Ngenzi katika Kanisa la KKKT usharika wa Mbarali mkoani Mbeya. 
Pichani Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiwa na wasimamizi wao Mr & Mrs Pambano Myula
Pichani Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao.

Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika tabasamu la kufurahia ndoa yao



No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...