Saturday, September 3, 2011

Harusi ya Evarist Lebba na Edna Shao

                                     
Bwana harusi Evarist Lebba (kushoto) akimvisha pete mkewe Edna Shao ikiwa ni ishara ya kuungana katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar es Salaam Septemba 3, 2011.
   
            

Bwana Harusi Evarist na mkewe Edna (katikati) wakiwa na wasimamizi wao (upande wa kulia na kushoto kwao), wakiongozwa na mmoja wa mapadre waliofungisha ndoa yao kanisani hapo.

 
             

Bwana harusi na bibi harusi wakiwa na wasimamizi wao kanisani wakati ibada ya misa yao ikiendelea. (Picha zote na mpiga picha wetu)

1 comment:

  1. Edna and Evarist!!mmependeva sanaaaaa....ur wedding ceremony was a classic one, each and every thing was so gorgeous!!Mungu awapigania katika ndoa yenu.

    ReplyDelete

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...