Sunday, December 23, 2012

Happybirthday Sarita Swaleh

Keki kwa Shampeni ikiwa ndani ya eneo la tukio hapo wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Sarita Swalehe


Sarita Swaleh akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
 Akimimina Shampeni tayari kwa kuwapa rafiki zake kipenzi waliohudhuria hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
 Sarita Akimlisha Keki mmoja wa Wadogo zake 
Sarita Akimlisha Keki Mmoja wa Rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake nyumbani kwao
Muda wa Maakuli sasa kila Kitu kilikuwa Kujisevia


Hapo Vinywaji kwanza vikitembea
Baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
Sarita Swaleh akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika Jana nyumbani kwao

Picha zote kwa hisani ya Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...