Wednesday, March 2, 2016

MAZISHI YA AFISA UHUSIANO WA TTCL AMANDA LUHANGA MLANGALI-LUDEWA, NJOMBE

Mwili wa Marehemu Amanda Luhanga Njavike ukiingia kanisani kwa ajili ya Ibada katika Kanisa la Angalikana, Mlangali – Ludewa mkoa wa Njombe 

Mwili wa marehemu Amanda Luhanga ukiwa kanisani kwa ajili ya Ibada

Familia ya Marehemu Amanda Luhanga wakiwa katika Ibada ya kumuuga Marehemu Amanda Luhanga

Mume  na mtoto wa marehemu Amanda wakitoa salamu za mwisho 

Baba na Mama  Luhanga wakitoa salamu zao za mwsho 

Mkuu wa Biashara Nyanda za Juu Kusini Juvenal Utafu akitoa salamu za mwisho

Wadogo zake Marehemu wakiaga mwili wa marehemu

Watumishi wa Mungu wakitoa salamu za mwisho

Baba Askofu wa Angalikana na wachungaji wakiendesha Ibada ya mazishi

Familia ya Marehemu Amanda Luhanga wakiweka shada katika kaburi la Amanda Luhanga

Baba na Mama  Luhanga wakitoa salamu zao za mwsho 





No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...