Monday, March 7, 2016

KONGAMANO LA WANAWAKE SERENA HOTELI LAFANA

Keki-ikikatwa-na-Emelda-Mwamanga-kutoka-Vital-Voices-Global-Partnership-kwa-kushirikiana-na-Shamim-Khan-kulia-na-Edna-Mdoe-wakisoma-hutuba-kutoka-Tazania-women-Interfaith-Network.
Keki-ikikatwa-na-Emelda-Mwamanga-kutoka-Vital-Voices-Global-Partnership-kwa-kushirikiana-na-Shamim-Khan-kulia-na-Edna-Mdoe-kutoka-Tazania-women-Interfaith-Network.

Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8
Mmoja wa watoa mada akitoa mada Mmoja wa watoa mada akitoa mada

Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8


Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hutuba kutoka-Tazania women Interfaith Network Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hutuba kutoka-Tazania women Interfaith Network


Wadau mbalimbali Wadau mbalimbali

Watoa mada  wakipata picha Watoa mada wakipata picha.

Meneja Masoko kutoka Jubilee Insurance, Francisca Mushi akizungumza Meneja Masoko kutoka Jubilee Insurance, Francisca Mushi akizungumza

Baadhi ya watoa mada wakibadilishana mawazo Baadhi ya watoa mada wakibadilishana mawazo

Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano hilo Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano hilo


Tauas Likokola akifuatilia mada Taus Likokola akifuatilia Mada


Modesta Mbughuni Mwenyekiti wa Malengo Women akitoa mada katika Kongamano hilo Modesta Mbughuni Mwenyekiti wa Malengo Women akitoa mada katika Kongamano hilo


Wadau wa kongamano wakifuatilia mada Wadau wa kongamano wakifuatilia mada

Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano wakipata picha ya pamoja Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano wakipata picha ya pamoja


mtoa mada-Gloria Shechambo katika kongamano lililofanyika Serena Dar es salaam mtoa mada-Gloria Shechambo katika kongamano lililofanyika Serena Hotel Dar es salaam

Belinda MlingoKatibu NGO ya TASOI
Belinda Mlingo Katibu wa NGO ya TASOI

Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam

Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership
Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership


washiriki washiriki

Bidhaa mbalimbali Bidhaa mbalimbali

Bidhaa mbalimbali za vipodozi Bidhaa mbalimbali za vipodoziBidhaa mbalimbali Bidhaa mbalimbaliBurudani mbalimbali Burudani mbalimbaliBidhaa mbalimbali Bidhaa mbalimbaliwakisalimiana wakisalimianaBaadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano wakifurahia jambo Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano wakifurahia jamboBaadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8 Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8IMG_0075upande wa Kushoto ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na upande wa kulia Belinda Mlingo Katibu NGO ya TASOI

 Kushoto ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na  kulia Belinda Mlingo Katibu NGO ya TASOI[/caption]

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...