|
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akimkabidhi Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (kulia) msaada wa mabegi yaliyotolewa na NMB leo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. vifaa hivyo vinatarajiwa kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam. |
|
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akimkabidhi Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (kulia) moja ya mabegi ya msaada yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Mabegi hayo yanatarajia kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Utumishi Jeshi la Polisi, DCP, Gabriel Semiono akishuhudia tukio hilo. |
|
|
|
|
|
|
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akijiandaa kumkabidhi Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (kulia) mabegi yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. |
|
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akimkabidhi Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (kulia) moja ya mabegi ya msaada yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Mabegi hayo yanatarajia kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Utumishi Jeshi la Polisi, DCP, Gabriel Semiono akishuhudia tukio hilo. |
|
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) pamoja na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (wa tatu kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baaadhi ya maofisa waandamizi wa jeshi la polisi na NMB walioshiriki zoezi la makabidhiano ya mabegi ya msaada yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Mabegi hayo yanatarajia kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam. |
|
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (kulia) akimshukuru Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (kushoto) mara baaadhi ya zoezi la makabidhiano ya mabegi yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Mabegi hayo yanatarajia kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam. |
|
Mazungumzo yakifanyika ndani ya Ofisi ya Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki kabla ya zoezi la makabidhiano ya mabegi yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Mabegi hayo yanatarajia kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam.
BENKI ya NMB imedhamini Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania unaotarajia kufanyika kwa Siku mbili jijini Dar es Salaam, yaani Februari 18 na 19, 2016. Benki ya NMB jana ilikabidhi mabegi ambayo yanatarajia kutumika katika Mkutano huo Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania. |
Benki ya NMB imetoa vifaa hivyo pamoja na kugharamia sehemu ya gharama za mkutano huo ikiwa kama mdau wa Jeshi la Polisi, ambapo pia katika mkutano wa maofisa hao kwa mwaka jana ilitoa takribani kiasi cha shilingi milioni 75 pamoja na msaada wa pikipiki tano ili kulisaidia jeshi katika kutimiza majukumu yake na kudumisha ushirikiano na kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment