Thursday, December 10, 2015

TTCL Waitumia 9 Desemba Kusafisha Soko Temeke Stereo, Wasaidia Vifaa vya Usafi

Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakigawana nyenzo za kufanyia usafi kabla ya kuanza usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Thomas (katikati) akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kufafanua juu ya zoezi la usafi lililofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo  katika Soko la Temeke Stereo pamoja na kukabidhi vifaa vya kufanyia usafi. 
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (wa pili kulia) akikabidhi baadhi ya vifaa vya usafi kwa Ofisa Masoko Manispaa ya Temeke, Tito Nombo (mwenye shati jeupe) kabla ya kuanza zoezi la kusafisha maeneo mbalimbali ya soko la Temeke Stereo la jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa TTCL na maofisa wa soko la Temeke wakishuhudia zoezi hilo. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 

Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Thomas (kulia) akifanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 

Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...