Sunday, December 6, 2015

TTCL Yaibuka Kidedea Tuzo za Ukaguzi Taarifa ya Fedha za NBAA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville (wa pili kushoto) baada ya TTCL kuibuka Washindi wa Pili kwa makampuni ya Biashara na Ushambazaji kwenye ukaguzi wa taarifa za fedha katika shindano lililoendeshwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014..
Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville (wa pili kushoto) akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA mara baada ya TTCL kukabidhiwa tuzo wa ushindi wa Pili kwa makampuni ya Biashara na Ushambazaji kwenye ukaguzi wa taarifa za fedha katika shindano lililoendeshwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na Ofisa kutoka Idara ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi wakipiga picha na tuzo ya kampuni yao kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. TTCL pia ilitwaa tuzo kwa kufanya vizuri katika taarifa za fedha.
Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville (wa tatu kulia) akigonganisha glasi kujipongeza baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi anuai zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na Ofisa kutoka Idara ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi wakiwa kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. TTCL pia ilitwaa tuzo kwa kufanya vizuri katika taarifa za fedha.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), Pius Maneno akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. 
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.
Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.
Mkurugenzi wa Fedha wa Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA), Saleh Mshoro akipokea tuzo ya ushindi wa pili wa hati safi katika taarifa za fedha kwa mamlaka za umma taasisi za serikali katika mashindano ya hiyari ya ukaguzi wa mahesabu uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.
Mkurugenzi wa Fedha wa Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA), Saleh Mshoro akipokea tuzo ya ushindi wa pili wa hati safi katika taarifa za fedha kwa mamlaka za umma taasisi za serikali katika mashindano ya hiyari ya ukaguzi wa mahesabu uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.
Mkurugenzi wa Fedha wa Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA), Saleh Mshoro (katikati) pamoja na maofisa wa TRA toka idara ya fedha wakipiga picha ya kumbukumbu mara baada ya kupokea tuzo ya ushindi wa pili wa hati safi katika taarifa za fedha kwa mamlaka za umma taasisi za serikali katika mashindano ya hiyari ya ukaguzi wa mahesabu uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. 
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipata picha ya kumbukumbu katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.
Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipata picha ya kumbukumbu katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...